Trump abadili utaratibu wa Obama kukabiliana na joto duniani | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Trump abadili utaratibu wa Obama kukabiliana na joto duniani

Trump pia amewahi kupinga huduma ya afya ya ObamaRais wa Marekani Donald Trump ametumia mamlaka yake kutengua utaratibu uliowekwa na mtangulizi wake Barack Obama, katika kukabiliana na ongezeko la joto duniani.
Trump amesema agizo la uhuru wa nishati ni mwanzo wa kipindi kipya cha uzalishwaji wa nishati.
Pia imefutilia mbali mahitaji yote ambayo maafisa wa serikali huyazingatia juu ya matokeo mabaya ya sheria yoyote mpya.
Akiungwa mkono na wachimbaji wa makaa ya mawe, Trump amesema italeta ajira.
Wachambuzi hata hivyo wamedokeza kuwa nishati mbadala zinaajiri watu wengi zaidi kuliko makaa ya mawe.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews