Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platinums Amefunguka Kuwa Hawezi
Kumkandamiza Harmorapa kwa kutumia jina linalofanana na harmonize kwani
staa huyu naye anatafuta maisha.
Diamond Amesema kuwa anampongeza Harmonize kwa kazi nzuri anazofanya
hali iliyopelekea kupata shabiki anayevutiwa naye na kutamani kuwa kama
yeye .
Aidha Staa huyo anayeweka na trak yake ya Marry You amesema kuwa
Harmorapa Anatakiwa Kuungwa Mkono kama wasanii wengine kwani huenda
alitafuta sana nafasi hii kwa muda mrefu.

0 comments:
POST A COMMENT