Ndoto za Zlatan Ibrahimovic bado hazijafikia ukingoni kutokana na kwamba bado anaona anauwezo wa kuigiza kama James Bond au Jason Bourne na sababu kubwa ikiwa ni kwamba mambo ya kuwa Secret Service anauweza vizuri.
Unahisi wapi Zlatan atatisha zaidi kati ya movie ya James Bond au Jason Bourne
0 comments:
POST A COMMENT