MBUNGE Halima Mdee Katika Kumi na Nane za Gwajima...Amtaka Akamuombe Msamaha | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

MBUNGE Halima Mdee Katika Kumi na Nane za Gwajima...Amtaka Akamuombe Msamaha

Leo Askofu Gwajima amemuongelea Halima Mdee katika Mahubiri yake na amemtaka Mbunge huyo kuacha mara moja kumtukana Spika akiwa Bungeni maana ni moja ya Mhimili wa Dola.

Amesema kuwa Halima Mdee asipoomba msamaha kwa tukio la kumuita fala Spika basi Jumapili ijayo atamchapa ipasavyo.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews