Godbless Lema Afunguka Maneno Mazito Bungeni......Kaomba Walau Kila Mbunge Afungwe Miezi Minne ili Waone Karaha Yake ..!!! | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Godbless Lema Afunguka Maneno Mazito Bungeni......Kaomba Walau Kila Mbunge Afungwe Miezi Minne ili Waone Karaha Yake ..!!!


jana mkutano wa saba wa bunge uliendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye alisimulia jinsi alivyotupwa selo miezi minne gerezani huku dhamana yake ikiwa wazi.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews