Huwa anafahamika sana kwa mabeef na wasanii wenzake pale wanapokuwa wamevurugana, ila kwa hili,50 cent hakuwa na beef na rapper yeyote yule ila ni shabiki wake wa kike ambae alichezea ngumi ya maana.
Shabiki huyo wa kike alipewa ngumi ya kifua baada ya kumvuta 50 kutoka stejin wakati akiwa anaperforme, ila baada ya tukio hilo 50 cent akaona sio kesi akimpandisha huyo dada kwenye steji kujumuika nae.
50 sio msanii wa kwanza kumpiga mwanamke, Kevin Gates ni mojawapo na alihukumiwa kwenda jela kwa miezi 6 kwa kosa hilo.
0 comments:
POST A COMMENT