Rasmi..Roma Mkatoliki Apatikana ..Kaka Yake Afunguka Alipokuwa..!!! kituo cha Polisi, Roma | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Rasmi..Roma Mkatoliki Apatikana ..Kaka Yake Afunguka Alipokuwa..!!! kituo cha Polisi, Roma

Msanii Ibrahim Musa maarufu kama Roma Mkatoliki amepatikana na sasa yupo katika kituo cha Polisi cha Oyesterbay jijini hapa.

Kaka wa Roma,Omar Musa amesema Roma alirudishwa nyumbani saa tisa alfajiri leo, na kwa sasa yupo kituo cha Oyesterbay.

 Hata hivyo Omar hakutaka kueleza kwa kina kuhusu kurejea kwa Roma akisema kuwa hadi familia itakapotoa tamko.

Roma na wenzake wanne, walitekwa wakiwa katika studio za Tongwe, zilizopo Masaki, jijini hapa hivi karibuni.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews