VIDEO: Mbowe alivyoshiriki msiba wa Mama Mdogo wa Rais Mstaafu J.Kikwete
March 7 2017 ziliripotiwa taarifa za msiba kutoka kwenye familia ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete ambapo imeelezwa Bibi Nuru Halfani Kikwete alifariki wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili. March 8 2017 mazishi yalifanyika
nyumbani kwao Msoga ambapo moja kati ya watu waliohudhuria ni kiongozi
wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe,Bonyeza play hapa chini kutazama
0 comments:
POST A COMMENT