2.BARCELONA INAKUWA TIMU YA KWANZA KUFUDHU 8 BORA MARA
10 MFULULIZO.Kitendo cha Barca kuitoa PSG pia kimewapa rekodi hii.Hakuna
timu yoyote katika Champions League ambayo imefanikiwa kufudhu katika
hatua ya 8 bora kwa mara 10 mfululizo,wao ndio wakwanza kufanya hivyo.
3.LUIS SUAREZ ANAWEKA REKODU MPYA YA UFUNGAJI.Katika
michezo 65 ambayo Suarez ameichezea Barcelona amefunga mara 64.Hii ina
maana kwamba ni sawa na kufunga goli moja katika kila mchezk kati ya
hiyo 64 kasoro mchezo mmoja.
4.FAULU YA KIPA NDIYO ILIWAPONZA PSG.Kama uligundua goli
la ushindi la dakika ya 95 la Sergio Roberto lilitokana na faulu
aliyofanyiwa golikipa wao Marc Andre Ter.Bila golikipa huyu ni wazi
kwamba pengine lile goli lisengetokea kwa kuwa chanzo cha goli
kisingekuwepo.
5.SEKUNDE 420 ZILIWATOA PSG.Hadi inafika dakika ya 87
Barcelona hawakuwa na matumaini kuwatoa PSG.Lakini sekunde 420 sawa na
dakika 7(kuanzia dakika ya 88 hadi 95 ziliwatosha Barcelona kuwatoa
PSG.Magoli matatu ya Barcelona yalipatikana ndani ya dakika hizi 7.
6.NEYMAR AMEMPITA PATRICK KLUIVERT KATIKA UFUNGAJI.Goli
alilofunga Neymar lilikuwa goli lake la 21 katika Champions League na
hivyo kumfanya kukaa juu ya mkurugenzi wa PSG Patrick Kluivert katika
orodha ya wafungaji wa muda wote katika champions league ndani ya
Barcelona.Ni Lioneil Messi tu mwenye magoli 94 na Rivaldo mwenye 22
walioko juu ya Neymar kwa sasa.
0 comments:
POST A COMMENT