
Chuo cha Mtakatifu Joseph Shinyanga ni Taasisi iliyosajiliwa na Serikali
kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa namba ya usajili
REG/BTP/076P, Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya Cheti (Certificate)
na Stashahada (DIPLOMA)
katika kozi za
- HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
- PROCUREMENT AND SUPPLY
- BUSINESS ADMINISTRATION
- ACCOUNTANCY
- ICT
- JOURNALISM $ MASSCOMUNICATION
- FULL SECRETARIAL COURSE
- NURSERY TEACHING $ KINDERGATEN
- RECORDS MANAGEMENT
- COMMUNITY DEVELOPMENT
Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha NNE
Chuo kipo shinyanga mjini na muhula wa masomo utaanza tarehe 3/4/2017 Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572
HAYA NDIO MAZINGIRA YA SHULENI
0 comments:
POST A COMMENT