Shy Rose bhanji afunguka mazito . | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Shy Rose bhanji afunguka mazito .

Image may contain: 1 person, text
"Ingawa jina langu limekatwa na Kamati Kuu ya Chama bila ya mimi nwenyewe kuitwa na kuhojiwa ili nipewe haki ya kujibu hoja zozote dhidi yangu, nawapongeza wote waliochaguliwa kuwa wagombea wa EALA kupitia CCM. Ninawashukuru sana Wabunge kwa kunipigia kura nyingi zilizoniwezesha kuwa miongoni mwa wagombea wanne wa mwanzo walioongoza kwa kura" Shy-Rose Bhanji
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews