Leo March 13 2017 mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam imeacha
athari kubwa baada ya kuharibu miundombinu na kuwa kero kwa baadhi ya
wakazi wa maeneo mengi kufuatia maeneo hayo kujaa maji. Angalia picha za
maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathiriwa na mvua
kubwa.
Msasani, Barabara ya maandazi
Roundabout ya Mlimani City
Mikocheni Barabara ya Kairuki
0 comments:
POST A COMMENT