KWA maneno yaliyo jaa mahaba Mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es
salaam Ali Hapi, amemsifia mkewe kwa kumvumilia kipindi chote akiwa
katika utendaji wa kulitumikia taifa.
Aidha Hapi ameonesha wazi jinsi gani anampenda na kumuheshimu mkewe
ambaye yeye anaamini kuwa uwepo wa mkewe unatija kubwa sana katika
kuyakamilisha majukumu yake kifamilia na kitaifa pia.
“Pale unapokua umetimiza malengo na kumshukuru Mungu. Asante malkia wangu kipenzi kwa kunivumilia.” alimaliza Hapi
0 comments:
POST A COMMENT