Askofu Gwajima - Nitaendelea Kumshambulia Makonda Hadi Akome,Siogopi Chochote..!!!! | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Askofu Gwajima - Nitaendelea Kumshambulia Makonda Hadi Akome,Siogopi Chochote..!!!!

 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.                       
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."                    
"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews