BAADA ya kuhakiwa akaunti yake Instagram, Msanii wa kuuza nyago kwenye
Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ameendelea kutapeliwa
na vijana wataalamu wa mtandao ambao wanatengeneza akaunti zenye majina
yake na kuvuta baadhi ya mikwanja kwa kutumia jina lake.
“Kuna account imefunguliwa eti ina jina la @gigy_pesa, hiyo account siyo
yangu. Account yangu ni hii @gigy_money baada ya ku hack ile nyingine.
Hiyo ya @gigy_pesa ni matapeli, kuwa nao mbali” alimaliza Gigy
0 comments:
POST A COMMENT