" Kiukweli kabisa mimi sina tatizo na Ali. Sijawahi kugombana naye na ni mtu tunaheshimiana. Kipindi Ali ndio yuko kwenye harakati za kurudi kwenye muziki ni watu walitengeza vitu kati yangu na Ali ili kutengeneza 'attention'....... Mimi nilijua kabisa vitu ( ugomvi kati ya @diamondplatnumz na @officialalikiba ) umetengenezwa kwa iyo nilivumilia. Labda mwenzangu alishindwa kuvumilia lakini sisi hatujawahi kugombana " Diamond
.
Diamond amezungumza hayo muda mfupi uliopita katika kipindi cha Clouds360
0 comments:
POST A COMMENT