Msanii Linah Sanga afunguka haya kuhusu ujauzito wake!!! | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Msanii Linah Sanga afunguka haya kuhusu ujauzito wake!!!

Image result for linah sanga
Linah Sanga 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kwamba haoni tatizo yeye kupiga picha za kuachia tumbo lake lenye ujauzito wazi kwani picha ni za kawaida sana wala hazina matatizo yoyote. Linah amefunguka hayo kwenye kamera za eNewz na kudai kwamba hawezi kumfurahisha kila mmoja ndio maana anafanya kile ambacho anahisi kipo sahihi kwa upande wake huku akidai wakosoaji wapo wengi.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews