Nafasi za Kazi Soma Hapa! | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Nafasi za Kazi Soma Hapa!


Nafasi za Kazi.
MTU BINAFSI NAFASI:
Vijana wa mauzo (nafaka maharage) SIFA: Awe na umri wa miaka 18 (wake kwa waume), uwezo wa kujieleza, mtanashati, elimu kuanzia darasa la 7- kidato cha 4 na wawe wakazi wa Dar
MAWASILIANO: 0625851190 Mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 30, 2017
INTERNATIONAL PEDIATRIC AIDS NAFASI:
Mtaalam wa Lishe SIFA: Awe na uelewa wa lishe, aweze kuwapa somo wagonjwa wa Ukimwi jinsi ya kutumia lishe bora kwa afya zao na awe tayari kufanya kazi kwa ajili ya waathirika wa virusi vya Ukimwi.
MAWASILIANO: Utawala, Baylor College of Medicine Children’s Foundation, P.O. Box 2663 Mbeya, Tanzania. Mwisho wa kutuma maombi ni Aprili 27, 2017.
RADAR SECURITY TANZANIA LTD NAFASI:
Ulinzi SIFA: Awe Mtanzania kwa kuzaliwa, mwadilifu, elimu kuanzia kidato cha nne, umri miaka 22-35, aweze kuandika na kuongea Kiingereza na Kiswahili, awe amepitia mafunzo ya mgambo au JKT.
MAWASILIANO: PO Box 802, Dar es Salaam, 255 022 5500138, 255 782 021483, 0687 373184 Mwisho wa kutuma maombi ni Aprili 21, 2017
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews