Luis Enrique ametangaza kuondoka Barcelona baada ya msimu huu kumalizika. | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Luis Enrique ametangaza kuondoka Barcelona baada ya msimu huu kumalizika.

Kocha wa Barcelona Luis Enrique amethibitisha kwamba hatokuwepo katika sehemu ya benchi ya ufundi la klabu hio kuanzia msimu ujao.
Mara baada ya ushindi wa goli 6-1 dhidi ya Gijon usiku huu, kocha wa Barcelona Luis Enrique ametangaza kuwa ataondoka Barcelona mara baada tu ya msimu huu kumalizika.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews