Duh..Noma Sana ... Diamonda Afanya Kufuru Nyingine,Baada ya Marry Me ya Neyo,Mzigo Huu Ndio Unaofuata..!!!! | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Duh..Noma Sana ... Diamonda Afanya Kufuru Nyingine,Baada ya Marry Me ya Neyo,Mzigo Huu Ndio Unaofuata..!!!!

 
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, amesema wakati wowote kuanzia sasa ataachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nothing But Bongo Fleva’.
Diamond ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya cha ‘Marry Me’ alichoshirikiana na staa wa Marekani, Neyo amesema albamu yake hiyo itakua na nyimbo zaidi ya 10 ikijumuisha mpya na zile za zamani.
Katika hatua nyingine, Diamond amesema wanaandaa kolabo ya pamoja na wasanii wote wa kundi la Wasafi ambayo itatoka hivi karibuni.
About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews