Picha,Nicki Minaj na Future wafanya video ya colabo yao….. | HABARI ZA TOWN

~Jamvi La Habari Na Burudani~

Breaking News
Loading...

Picha,Nicki Minaj na Future wafanya video ya colabo yao…..


Nicki Minaj na rapa Future wanafanya video mpya ya colabo inayoaminika ni ya Future. Mastaa hawa wameweka siri ni wimbo wa nani haswa unafanyiwa colabo ili uje kama Suprise kwa fan base yao.
Nicki Minaj kwa sasa amekuwa akisubiriwa kujibu Diss ya Remy Ma kwa rekodi yoyote ile au kwenye colabo ya msanii mwingine….. Hizi picha


About Author
  • mwana habari Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Total Pageviews